Rais wa Ufaransa Bw. François Hollande
akihutubia washiriki katika ufunguzi wa mkutano wa 4 wa mpango wa Uendeshaji wa
Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP) katika ukumbi wa Salle Pleyel, ambapo alisisitiza umuhimu wa wananchi kushiriki
katika shughuli za maendeleo na kuwataka washiriki kuja na matokeo ya hatua
zilizochukuliwa katika kushirikisha wananchi kwenye masuala ya maendeleo.
Washiriki wakimsikiliza Rais
wa Ufaransa Bw. François Hollande
Rais wa Ufaransa Bw. François Hollande akiwa katika
picha ya pamoja na wajumbe wapya wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za
Serikali kwa uwazi(OGP)
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Twaweza Bw.Aidan
Eyakuze (kulia) akishiriki katika majadiliano wakati wa ufunguzi wa mkutano wa
4 wa mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP) katika ukumbi
wa Salle Pleyel,ambapo walijadili masuala mbalimbali ya Serikali
kwa uwazi nakueleza mtazamo wake juu muelekeo wa mpango wa
Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi(OGP).
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...