Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Benki Bw. Ibrahim Mwangalaba akizungumza na wageni waalikwa jana katika uzinduzi wa tawi jipya la benki hiyo lililopo Mwenge jijini Dar es Salaam,kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Maendeleo Benki Bw. Amulike Ngeliama na Mjumbe wa Bodi hiyo Bw. Naftal Nsemwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Maendeleo Benki Bw. Ibrahim Mwangalaba akiwaongoza wageni waalikwa katika maeneo mbalimbali ya tawi jipya la Mwenge, Dar es Salaam lililozinduliwa jana.
Wageni waalikwa katika hafla fupi ya ufunguzi wa tawi jipya la Maendeleo Benki la Mwenge wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa tawi hilo mapema jana.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...