img-20160925-wa0172 Mkurugenzi mkuu na mwanzilishi wa Shield our Watoto(SOW) Bhoke Kirigiti kushoto na mumewe Peter Kirigiti katika hafla ya kuchangisha fedha kwa ajili ya taasisi hiyo ya kulinda watoto dhidi ya ukatili na ghasia za kingono iliyofanyika Jumamosi Septemba 24 jijini Columbus Ohio. img-20160925-wa0012 Bhoke Kirigiti akizungumza. img-20160925-wa0010Jummy Olawale mzungumzaji mkuu akitoa hotuba. img-20160925-wa0007Jackie Mapigano akitoa sala ya Ufunguzi. 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...